Home » » AJALI MBAYA YATOKEA MBEZI JIJINI DAR

AJALI MBAYA YATOKEA MBEZI JIJINI DAR

Written By JAK on Sunday, October 27, 2013 | 12:32 PM


Ajali mbaya imetokea eneo la bondeni, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam baada ya daladala ya Mwenge Kariakoo kukosa break na kugonga magari mawili na bajaji mbili. Katika ajali hiyo mama mmoja amegongwa vibaya na amekimbizwa hospitali ya Lugalo kwa matibabu.

Hali haikuwa nzuri maana kila mmoja alikuwa katika hali ya taharuki.


Bajaji zikiwa zimegongwa vibaya
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger