Pages

Friday, October 25, 2013

BREAKING NEWS KUTOKA KWA PAPARAZI WETU KITUO CHA POLISI - CHADEMA ARUSHA


 Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Viongozi wote wa  Chadema waliokwenda Kituo cha Wilaya

cha Polisi Mjini Arusha Mwenyekiti wa Mkoa Samsoni Mwigamba na  Mwenyekiti wa Chadema Wilaya 

ya Arusha Ndg Golugwa ,wameshaondoka eneo la Polisi usiku huu , wakirudi kwenye eneo linalofanyikia Mkutano Corridor Spring Arusha.

Kikao hicho kinaongozwa na Mwenyekiti wa Chadema na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni 

Mh. Mbowe ,kikihudhuriwa na Mbunge wa Jimbo la Arusha Ndg Lema G., Mbunge wa Karatu 
na viongozi wengine wa Chama hicho.


KIKAO KINAENDELEA.


Mwanahabari wetu anawasiliana na uongozi wa Chama hicho ili
 kuwaletea habari kamili mara atakapowapata.

No comments:

Post a Comment