Home » » Tamasha la Serengeti Fiesta kurindima kesho ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini DSM

Tamasha la Serengeti Fiesta kurindima kesho ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini DSM

Written By JAK on Saturday, October 26, 2013 | 2:29 AM

http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/10/Allan-1.jpg

Meneja Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Allan Chonjo akiwatambulisha baadhi ya wasanii watakaotoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013 kutoka nje ya Tanazania, kushoto ni Alaine Laughton kutoka Jamaica na Mohombi Nzasi Moupondo kutoka Sweden. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Serena iliyopo katika jiji la Dar ES Salaam. tamasha
 la Serengeti Fiesta 2013 leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar Es Salaam

Msanii Alaine Laughton (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa wasanii wa kimataifa watakaotoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013 leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni msanii kutoka Nigeria David Adeleke (Davido) na Kulia ni Meneja masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Allan Chonjo.
Na Michuzi Blog
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger