Home » » WANANCHI WATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKA KWA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA MAENDELEO KATIKA MAENEO YAO

WANANCHI WATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKA KWA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA MAENDELEO KATIKA MAENEO YAO

Written By JAK on Tuesday, October 29, 2013 | 1:42 AM



 
Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu (kulia) akimkabidhi nyaraka za utendaji kazi mwenyekiti wa Baraza jipya la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bw. Omari Issa wakati wa uzinduzi wa baraza hilo leo jijini Dar es Salaam.
 
Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu akizungumza na wajumbe wa Baraza jipya la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi wakati wa uzinduzi wa baraza hilo leo jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Baraza jipya la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bw. Omari Issa akizungumza na wajumbe wa baraza hilo mara baada ya uzinduzi leo jijini Dar es Salaam.
 
Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu (katikati) akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Baraza jipya la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bw. Omari Issa (kushoto) na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt. Anacleti Kashuliza leo jijini Dar es Salaam.
 
Wajumbe na Viongozi wa Baraza jipya la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger