Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiteremka katika ndege ya Serikali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani huko.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi mbali mbali na Wanancchi, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani huko.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi mbali mbali na Wanancchi, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani huko.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama isara ya uzinduzi wa kituo cha kununulia Karafuu cha Chanjaani-Mtambwe Wilaya ya Wete Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara maalum kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiangalia Karafuu katika kituo cha Chanjaani-Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba baada ya kkukifua rasmi kituo hicho cha kununulia zao hilo,akiwa katika ziara maalum kwa mikoa ya Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi baada ya kuapata maelezo na kuona hali halisi ya ununuzi wa zao la Karafuu katika kituo cha Chanjaani_Mtambwe,baada ya kukifungua kituo hicho akiwa katika ziara maalum katika Mikoa ya Pemba .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakipata maelezo kutoka kwa Shaibu Hamadi Ali,alipotembelea Kituo Mzambarauni akiwa katika ziara ya wiki moja Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na wakulima katika kituo cha Mzambarauni baada ya kuangalia zoezi la Ununuzi wa Karafuu,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment