Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria, katika
utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Katiba na
Sheria,wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini
ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo
pichani)katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]

Post a Comment