Home » » DKt SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

DKt SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

Written By JAK on Wednesday, November 27, 2013 | 6:41 AM


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya   Mifugo na Uvuvi,wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman
MICHUZI BLOG
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger