
Katibu Mkuu wa CCM,ndugu Abdulrahman Kinana na ujumbe wake
wakipata chai mapema asubuhi,nyumbani kwa balozi wa shina,Said Husein mara
baada ya kuwasili katika kijiji cha Mchomoro wilayani Namtumbo mkoani
Ruvuma.Kinana na ujumbe wako kwenye ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya
chama na kukagua uhai wa chama katika mkoa wa Ruvuma.
:NA MICHUZI

Post a Comment