Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama,akizungumza
jambo wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Ujumbe wake walipokaribishwa
kupata chai ya pamoja kwa balozi wa shina,Issa Said mapema leo katika Kata
yaPeramiho wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma. Wa mwisho kulia ni Mkuu wa
Mkoa huo Said Mwambungu.
Post a Comment