Home » » MAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AIFARIJI FAMILIA YA MUSA SAMIZI

MAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AIFARIJI FAMILIA YA MUSA SAMIZI

Written By JAK on Wednesday, November 13, 2013 | 11:00 PM


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa marehemu, Mussa Samizi, Bi. Misingo Samizi, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Tegeta jijini Dar es Salaam, leo mchana. Marehemu Samizi alikuwa ni Mtumishi Mstaafu wa Umma,aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Chama cha Mapinduzi CCM na Serikali. Marehemu anazikwa leo jijini Dar es Salaam.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya marehemu, Mussa Samizi, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Tegete jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger