Malkia Kassu
Mtanzania, Malkia Kassu (
wa tano toka kushoto) akiwa na washindi wenzake - wote wamevalia taji na kubeba
vikombe vya ushindi. Picha na Jay Pedram
Malkia Kassu akipongezwa
na marafiki, Andrew Matt na Aisha Mohammed. Picha na Jay Pedram
PONGEZI TOKA UBALOZINI: Kutoka kushoto ni mdhamini,
Ali Sungura, Balozi wetu Uingereza , mheshimiwa Peter Kallaghe, sahiba mkuu Aisha Mohammed na Afisa Ubalozi,
Allen Kuzilwa. Picha na Said Surur na habari imeandikwa na Freddy Macha
Post a Comment