
Mgeni Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za
Kale,Mke wa Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal akizungumza machache wakati wa
shughuli hiyo iliyofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena,Jijin
Dar es Salaam.Usiku wa Khanga za Kale ni siku pekee ya Kuonyesha Mavazi
yaliyobuniwa kwa kutumia Khanga,yanayoandaliwa kila Mwaka na Mbunifu wa Miaka
mingi,Mamaa wa Mitindo Asia Idarous.

Mgeni Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za
Kale,Mke wa Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal (kulia) akipokea zawadi ya Sahani
iliyochorwa jina lake,kutoka kwa Muandaaji wa Maonyesho hayo ya Usiku wa Khanga
za Kale,Mama Asia Idarous.

Mgeni Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za
Kale,Mke wa Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal akimkabidhi cheti cha
Ushiriki,Mrembo wa Tanzania alieamaliza muda wake,Brigit Alfred.Katikati ni
Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous.

Muwakilishi wa Valey Spring akipokea cheti.

Mwanalibeneke Othman Michuzi,akipokea Cheti kutoka kwa Mgeni
Rasmi ikiwa ni cheti cha moja wadhamini wa Onyesho hilo.

Salma Msangi akipokea Cheti kwa niaba ya Radio Magic Fm na
Channel 10 televisheni.

Dada Garina Ajmy akipokea Cheti kwa Niaba ya Clouds Media.

Mkurugenzi wa Magazeti ya Jambo Leo,Benny Kisaka.

DJ John Dilunga.

Mariam Ndabagenda.













Wanamitindo mbali mbali wakipita jukwaani kuonyesha mavazi
mbali mbali yaliyobuniwa kwa kutumia Khanga,wakati wa Onyesho la Usiku wa
Khanga za Kale.

Mama wa Mitindo,Asia Idarous akiwa na bintie jukwaani.

Post a Comment