Home » » Dk.Shein Ashiriki maziko ya Jecha Thabit Kombo, Chukwani

Dk.Shein Ashiriki maziko ya Jecha Thabit Kombo, Chukwani

Written By JAK on Saturday, December 7, 2013 | 3:37 AM


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akishiriki na Viongozi na waomboleaji  mbali mbali katika kumswalia Marehemu Jecha Thabit Kombo,katika msikiti Masjid Nuru Muhammad,kwa mchina,na kuzikwa Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja
 Baadhi ya wananchi walioshirki katika mazishi  ya Marehemu Jecha Thabit Kombo,wakilibeba jeneza wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo  kijiji kwao Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika mazishi ya marehemu Jecha Thabit Kombo,aliyezikwa kijijini kwao Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger