Pages

Tuesday, December 31, 2013

Kamanda kova na wakuu wa wilaya za mkoa wa Dar es salaam


Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi ya Dar es salaam Afande Suleiman Kova akiwa na wakuu wa wilaya ya mkoa wa Dar es salaam katika hafla ya kukabidhiwa Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya katika viwanja vya Karimjee Hall jijini Dar es salaam leo. Kutoka kushoto ni Mhe Jordan Rugimbana (kinondoni, Mhe Raymond Mushi (Ilala) na Mhe. Sophia Mjema wa Temeke.

No comments:

Post a Comment