| Kanda kabongo akimuhuumia Japhert Kaseba |
| Bondia Omari Nampekecha 'peche boy' kushoto akipambana na hasani Kiware wakati wa mpambano huo nampekecha alishinda kwa pointi |
| Kaseba akiwa na familia yake pamoja na mashabiki baada ya kushinda mchezo wake |
Bondia Pendo Njau kushoto akiwa na bondia Llulu Kayage wakati wa mpambano huo
| mashabiki wakiangalia mpambano |
| Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point |
| Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point picha nasuperdboxingcoach.blogspot.com |

Post a Comment