Home » » KUTOKA KIGOMA,DR.SLAA APAMBANA NA MAANDAMANO MAKUBWA YA KUMPINGA

KUTOKA KIGOMA,DR.SLAA APAMBANA NA MAANDAMANO MAKUBWA YA KUMPINGA

Written By JAK on Saturday, December 7, 2013 | 5:54 PM


Kinachoendelea KIGOMA muda huu na hata kwenye kwenye Maandamano Makubwa ni hiki wanachama wa CHADEMA wakiandamana kupinga ujio wa Dr SLAA na viongozi wenzake mkoani.
Ukweli ni Kwamba Dr.slaa amekutana na wakati Mgumu akiwa Kigoma.Picha zingine zitakuja na saambili Usiku ITV,TBC NA STAR TV wataonesha hali ya leo Kigoma walivyojitokeza Kupinga Ujio wa Dr.slaa.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger