Home » » MAKAMU WA RAIS ASAINI KITABU CHA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MZEE MADIBA

MAKAMU WA RAIS ASAINI KITABU CHA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MZEE MADIBA

Written By JAK on Saturday, December 7, 2013 | 3:29 AM


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha rambirambi  kwenye  Ubalozi wa Afrika ya Kusini Masaki  jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) aliyefariki Dunia jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg. kushoto ni Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Henry Thanduyise Chilize.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima zake baada ya kusaini kitabu cha rambirambi  kwenye Ubalozi wa Afrika ya Kusini Masaki  jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) aliyefariki Dunia jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg. kushoto ni Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Henry Thanduyise Chilize.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi na Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza  Ubalozi wa Afrika ya kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza  ya Ubalozi wa Afrika ya kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg. Picha na OMR
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger