Mbunge wa jimbo la Isimani ambae ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge Bw Wiliam Lukuvi kulia akimkabidhi msaada wa gari la wagonjwa mganga mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Ignesa Mlowe kwa ajili ya kituo cha afya Kimande gari lenye thamani ya Tsh milioni 180 lililotolewa na serikali kupitia wizara ya afya na ustawi wa jamii 
Mbunge wa jimbo la Isimani ambae ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge Bw Wiliam Lukuvi akimkabidhi msaada wa fedha kiasi cha Tsh milioni 2.2 kwa ajili ya kusafisha mfereji wa umwagiliaji anayepokea kulia ni mwenyekiti wa jumuiya ya wakulima wea mpunga katika mfereji wa Mlenge Bw Fundi Maleva leo.
Mbunge wa jimbo la Isimani ambae ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge Bw Wiliam Lukuvi akijaribu pikipiki mbili zilizotolewa na rais Dr Jakaya kikwete kwa jumuiya ya watumiaji maji Pawaga.Picha na Francis Godwin.

Post a Comment