Home »
Africa
» Rais Kikwete atembelea na kuwafariji wagonjwa Muhimbili
Rais Kikwete atembelea na kuwafariji wagonjwa Muhimbili
Written By JAK on Saturday, December 28, 2013 | 9:26 PM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba(15) aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais alipowatembelea na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika wodi ya Mwaisela leo.(picha na Freddy Maro).
Post a Comment