Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkagua na kumpa pole Waziri wa Kazi na Utumishi wa Umma Zanzibar Mh. Haoun Ali Suleiman aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa kitengo ya MOI Muhimbili Jijini Dar es salaam.
Waziri Haroun amelazwa Hospitalini hapo karibu wiki moja sasa akikabiliwa na tatizo la ugonjwa wa Moyo.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ
Post a Comment