Home » » JESHI LA MKOLONI LILIVYONGONGA NYOYO ZA WATU WAKATI WA SHEREHEZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

JESHI LA MKOLONI LILIVYONGONGA NYOYO ZA WATU WAKATI WA SHEREHEZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Written By JAK on Tuesday, January 14, 2014 | 6:02 AM


 Hili lilikuwa igizo lililoendeshwa na askari polisi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman mjini Unguja jana Jumapili Januari 12, 2014.

"Askari wa kikoloni", akipewa adhabu ya push up baada ya kuboronga wakati wa gwaride. Hili lilikuwa igizo lililoendeshwa na askari polisi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa michezo Aman mjini Unguja Jumapili Januari 12, 2014.


Kamanda wa kikosi cha askari KAR, akiongoza wenzake kwenye onyesho la Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi lililoendeshwa na askari polisi kuonyesha jinsi jeshi la kikoloni lilivyokuwa likifanya mambo yake,enzi hizo na ilikuwa ni burudani nzuri sana iliyomvutia kila aliekuwa akitazama.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger