Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza akijichukulia maakuli wakati wa sherehe za mwaka mpya siku ya Jumatano huko VOA Washington Dc.
Heather akifurahi mbele ya kamera ya Mdau Sunday Shomari mara baada ya kujipakulia msosi.
Intern wa VOA na mmiliki wa Bongovibez Bi.Mariam akiwa kwenye mkao wa kung'aa.
Fatou Kalala prodyuza akifurahia kilaji chake.
Mdau Sunday Shomari akiwa na dada Ndimyake wa VOA -TV
Post a Comment