Home » » SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU JAJI GEORGE BAKARI LIUNDI KATIKA MAKABURI YA CHANG'OMBE JIJINI DAR LEO

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU JAJI GEORGE BAKARI LIUNDI KATIKA MAKABURI YA CHANG'OMBE JIJINI DAR LEO

Written By JAK on Thursday, January 16, 2014 | 10:54 PM


 Mke wa Marehemu Mzee Liundi akiweka shada la maua.
 Mtoto mkubwa wa Marehemu JAji George Bakari Liundi, ndg. Taji Liundi na Mkewe wakiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba yao,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo kwenye Makaburi ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo. 
 Watoto wengine wa Marehemu. 
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Uratibu na Bunge, Willium Lukuvi akiweka shada la maua kaburini kwa niaba ya Serikali.

 Msajili wa Vyama vya Siasa,Jaji Francis Mutungi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Jaji George Bakari Liundi.

 Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Jaji Joseph Walioba akiweka shada la Maua kaburini.






 Kateksta akiongoza ibada ya maziko ya Jaji George Bakari Liundi yaliyofanyika leo katika makaburi ya Chang'ombe Maduka Mawili jijini Dar es Salaam.
 Waombolezaji waliofika makaburini.
 Mwili wa Marehemu Jaji George Bakari Liundi ukishushwa kaburini.
 Umati wa waombolezaji.
 Kateksta akitia mchanga 
 Mke wa Marehemu George Bakari Liundi akiweka mchanga.
 Mtoto wa Marehemu,aitwae Lulu akiweka mchanga kaburini.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick akiweka mchanga kaburini.
 Viongozi mbali mbali.
 Mh. Lukuvi akiteta jambo na Mh. Sadick wakati wa Mazishi ya Jaji George Liundi.
 Mtoto mkubwa wa Marehemu akiweka msalaba kwenye kaburi la Baba yake.





Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger