Pages

Saturday, February 8, 2014

CHADEMA WALIPIZA KISASI KWA KUVUNJA MASHINA YA WAKEREKETWA YA CCM JIJINI ARUSHA BAADA YA MWENYEKITI WAO KUTIMKIA CCM - SOMBETINI


SHINA LA WAKEREKETWA LA KONA YA DARAJANI (CCM) LENYE WANACHAMA TAKRIBANI 152 BAADA YA KUVUNJWA NA BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA USIKU WA 06/02/2014 KWENYE MTAA WA OSUNYAI, KATA YA SOMBETINI


SHINA LA WAKEREKETWA GODOWN (CCM) LENYE WANACHAMA TAKRIBANI 75 BAADA YA KUVUNJWA NA BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA USIKU WA 06/02/2014 KWENYE MTAA WA SIMANJIRO, KATA YA SOMBETINI
SHINA LA WAKEREKETWA NGUSERO MWISHO WA HIACE (CCM) LENYE WANACHAMA TAKRIBANI 94 BAADA YA KUVUNJWA NA BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA USIKU WA 06/02/2014 KWENYE MTAA WA OSUNYAI, KATA YA SOMBETINI

BAADHI YA WAKAZI WAKISHANGAA TUKIO HILO,LASHINA LA WAKEREKETWA NGUSERO MWISHO WA HIACE (CCM) LENYE WANACHAMA TAKRIBANI 94 BAADA YA KUVUNJWA NA BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA USIKU WA 06/02/2014 KWENYE MTAA WA OSUNYAI, KATA YA SOMBETINI

No comments:

Post a Comment