Home » » CHALINZE YARINDIMA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM

CHALINZE YARINDIMA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM

Written By JAK on Wednesday, March 19, 2014 | 9:32 PM


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana,Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete pamoja na wanaCCM wengine wakitembea kuelekea kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014.
Matembezi yakiendelea.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akicheza ngoma ya asili.
Ilikuwa ni Shangwe tupu kwa wanaChalinze hasa pale alipofika Kipenzi Chao,Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo,Ridhiwani Kikwete kwenye viwanja hivyo tayari kwa Uzinduzi wa Kampeni za CCM.
Mama Salma Kikwete akimlaki kijana wake,ambaye ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Kikwete.


Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukeli a.k.a Mwana wa Chalinze akitoa burudani kwa Wana Chalinze waliofika kwa kwenye Uzinduzi wa Kampeni za CCM leo.
"Wana Chalinze Mambo.........."

Ridhiwani Kikwete akiyarudi Magona na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukweli.































































Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger