Home » » WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA,PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA,PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI

Written By JAK on Wednesday, March 12, 2014 | 9:21 PM


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya mazungumzo, kwenye makazi ya Waziri Mkuumjini Dodoma Machi 12, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano waJjamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya mazungumzo kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma Machi, 12, 2014.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Uchukuzi , Ujenzi na Vifaa wa Burundi, Mhandisi Virginie Ciza na mwenyeji wake Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe (kushoto) kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Machi 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger