Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, akila kiapo cha kusimikwa kuwa kamanda wa
umoja wa vijana UVCCM wilaya ya Same.
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana UVCCM Sixtus Mapunda, akimsimika Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, kuwa Kamanda wa Vijana wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.
Katibu mkuu wa umoja wa Vijana UVCCM, Sixtus Mapunda akimsomea , Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki kiapo cha ukamanda.
Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa timu za mpira, baada ya kuwakabidhi vifaa vya michezo, kama njia ya kuwaunganisha vijana
pamoja. Picha zote na Fadhili Athumani
Post a Comment