Home » » ASKOFU IRINGA AOGOPA SIASA ZA UKAWA

ASKOFU IRINGA AOGOPA SIASA ZA UKAWA

Written By JAK on Sunday, April 20, 2014 | 10:27 PM

ASKOFU KKKT IRINGA DR MDEGELA ATAKA UKAWA WASIRUHUSIWE KUENEZA CHUKI ,ATAKA WAREJEE BUNGENI AMA WAFUNGASHE VIRAGO WARUDI NYUMBANI ASEMA SERIKALI NI MBILI PEKEE

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya  Iringa  Dr.OwdenburgMdegela
Wachungaji na  msaidizi wa Askofu kulia wakifuatilia salam za  pasaka zilizokuwa  zikitolewa na askofu Dr Mdegela
waumini  wa KKKT usharika wa kanisa  kuu leo
Wanahabari Iringa  wakirekodi salam za askofu Dr Mdegela  leo
Waumini wa kanisa  hilo na  wageni kutoka nje wakifuatilia salama za askofu Dr Mdegela
Katibu wa Asas za Kiraia mkoa  wa Iringa Raphael Mtitu kulia akifuatilia salama za askofu Dr Mdegela

 mdau wa mtandao huu  Stivin Lwambati wa pili  kulia akifuatilia salam hizo 
Askofu Dr Mdegela akitoa  salam  za Pasaka
Askofu Dr Mdegela akitoka kanisani hapo baada ya ibada ya Pasaka
Kwaya  kuu ikiimba 
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger