Home » » Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

Written By JAK on Sunday, April 13, 2014 | 10:35 AM





http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=151009&d=1397365439

http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=151006&d=1397364669

http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=151012&d=1397365970


Mpaka sasa kuna foleni kubwa kutoka Darajani mpaka mlandizi na bado inazidi kuongezeka. 

Na haieleweki yataisha lini wala saa ngapi, 

Gari moja aina ya tank limeshasombwa. kwa wale mnaosafiri kupitia Ruvu ni vema mkaahirisha safari.

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger