Home » » KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA EDWARD MORINGE SOKOINE YAHUDHURIWA NA MAELFU YA WATU MBALIMBALI LEO.

KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA EDWARD MORINGE SOKOINE YAHUDHURIWA NA MAELFU YA WATU MBALIMBALI LEO.

Written By JAK on Saturday, April 12, 2014 | 9:40 PM


Kulia ni MNEC Mungure, aliyevaa t -shirt ya kijani ni Mchumi wa CCM Wilaya ya Arusha Mjini Ndg Victor Mollel akifuatiwa na Mbunge mtarajiwa Ndg Sioi .
Msafara wa magari kuelekea nyumbani kwa Marehemu Sokoine kama yanavyoonekana.
Baadhi ya magari .
Ndg Sioi Mbunge mtarajiwa Jimbo la Meru 2015.
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha Ndg Robson Meitinyiku akiwa ameongozana na baadhi ya Viongozi wa Chama na UVCCM leo nyumbani kwa Marehemu Edward Sokoine.
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munissi (aliyevaa kofia)Ndg F. Sabuni , Katibu wa CCM Wilaya Meru wakiwa nyumbani kwa marehemu Edward Sokoine leo.
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Ndg Madalu, Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Ndg Rehema na aliyevaa miwani ni Ndg Hillal Sood , Mchumi wa CCM Mkoa wa Arusha.

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akishiriki misa maalum ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine iliyofanyika nyumbani kwake Monduli. Kulia kwake ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenera Mkungara, na motto wa Marehemu sokoine Ndugu Joseph Sokoine.
Baadhi wa Waheshimiwa wabunge na Wabunge wakifuatilia misa kwa makini.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini William Mkapa, Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowasa, wakishiriki Misa maalum ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili kushiriki misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine.
Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameketi na wajane wa hayati Edward Moringe Sokoine pamoja na baadhi ya viongozi wa kitaifa katika misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine.
Mhe. Rais akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini William Mkapa akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim nae akiweka shada la maua.
Mhe. Lowasa nae akiweka shada.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine.
Mwakilishi wa Ujumbe wa wajumbe wa Bunge Maalum Mhe. Paul kimiti nae akiweka shada la Maua. Picha na Owen Mwandumbya.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger