Home » » Lowassa Amuongoza Rais mstaafu wa awamu wa tatu Mh Benjamin Mkapa Kwenye Ziara ya kutembelea shule ya msingi ya Manyara Ranchi

Lowassa Amuongoza Rais mstaafu wa awamu wa tatu Mh Benjamin Mkapa Kwenye Ziara ya kutembelea shule ya msingi ya Manyara Ranchi

Written By JAK on Monday, April 14, 2014 | 11:11 PM



Rais mstaafu wa awamu wa tatu Mh Benjamin Mkapa leo (jumatatu) amefanya ziara kutembelea shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na shirika la kimataifa la uhifadhi wa wanyamapori la African Wildlife Foundation  Wilayani Monduli. Mzee Mkapa ni Makamu Mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao yake mjini Washington Marekani. picha mbalimbali zinamuonesha Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais Mkapa kuzuru shule hiyo.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger