Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea tuzo ya kushawishi wake wa Marais wa Afrika katika kutetea haki za wanawake na watoto ili kupunguza vifo vya akina mama na watoto “ Stand Up for African Mothers”. Anayekabidhi tuzo hiyo ni Mkurugenzi Mkazi wa AMREF hapa nchini Dr. Festus Ilako. Sherehe hiyo ilifanyika kwenye ofisi za WAMA tarehe 11.4.2014.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, akizungumza na ujumbe kutoka African Medical Research Foundation (AMREF) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo hapa nchini Dr. Festus Ilako. Mama Salma alikutana na ujumbe huo ofisi za WAMA tarehe 11.4.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kkwete akiongea na ujumbe kutoka AMREF mara baada ya kumkabidhiwa tuzo ya “Stand up for African Mothers” tarehe 11.4.2014.
PICHA NA JOHN LUKUWI
Post a Comment