MWAKYEMBE AZURU MAENEO YALIYO KUMBWA NA MAFURIKO MBEYA KYELA

Mbunge wa Kyela Dr. Mwakyembe akikagua Barabara iendayo Bandari ya Kiwira

Baadhi ya watu wakigangaika kupita juu ya maji hayo yaliyotokana na Mafuriko


Baadhi ya watu mbalimbali wakiwa wanashuhudia Mafuriko hayo muda huu

Gari Likiwa limekwama katika tope lililotokana na Mafuriko hayo, hili ni eneo la Bujonde
![]() |
na mbeya yetu |
Post a Comment