Home » » RAIS Dk.JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAFURIKO MKOA WA PWANI

RAIS Dk.JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAFURIKO MKOA WA PWANI

Written By JAK on Monday, April 14, 2014 | 12:05 AM



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu Darajani leo.Mamia ya abiria walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko hayo.

 




Rais akisalimiana na mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Bwawani iliyopo Mkoani Pwani wakati alipotembelea eneo la Ruvu lililoathiriwa na mafuriko leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wakikagua athari za mafuriko maeneo ya Ruvu Darajani na Visiga
Picha na Freddy Maro.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger