Home » » TASWIRA ZA AJALI YA HELICOPTER ILIYO HUSISHA MAKAMU WA RAIS DK. BILAL, KOVA, MKUU WA MKOA WA DAR NA DK. MAGUFULI.

TASWIRA ZA AJALI YA HELICOPTER ILIYO HUSISHA MAKAMU WA RAIS DK. BILAL, KOVA, MKUU WA MKOA WA DAR NA DK. MAGUFULI.

Written By JAK on Sunday, April 13, 2014 | 6:16 PM


Makamu wa Rais Dk Gharibu Bilal, Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar Es Salaam, Sulemani Kova na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wamenusurika kufa mara baada ya helikopta ya jeshi waliyokuwa wakitumia kwaajili ya kuzunguka kujionea athari ya mafuriko iliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar Kuanguka katika Uwanja wa ndege wa jeshi uliopo jijini Dar Es Salaam. Imedhibitishwa ni kweli kupitia TBC walio nusurika ni

1. Makamu wa Rais, Dr. Bilal

2. Mkuu wa mkoa wa Dar, Sadik

3. Mkuu wa polisi Kanda Maalum, Kova

Wamepata majeraha kidogo walikuwa wakikaguwa athari za mvua jijini

Habari zaidi zitaendelea kuwajia



Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger