Rais wa Tanzania Street Children Academy, Mansoor akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusiana na ushindi wa timu ya watoto wa mitaani iliyoshinda kombe la Dunia, Brazil. Kushoto kwake ni Mwanzilishi wa kituo hicho, Mtani Angwe na kulia ni kwake Nahodha Msaidizi, Frank William.
Wakiwa na Vikombe vyao walivyo shinda nchini Brazil
Timu ya Taifa ya Waoto wa mataani wakizungumza na waandishi wa habari akiwa na Viongozi wao Dar es Salaam jana.
Post a Comment