Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika
mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika maadhimisho ya
miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
mchana.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment