Powered by Blogger.

Ads 468x60px

Social Icons

NEWS

Featured Posts

Latest Post
Showing posts with label Africa. Show all posts
Showing posts with label Africa. Show all posts

Mutunga meets security chiefs over terrorism cases

Written By JAK on Monday, May 26, 2014 | 10:08 PM


PHOTO| FILE Chief Justice Willy Mutunga accompanied by National Security Organs Leaders address Journalists at Supreme Court of Kenya after a meeting between Judiciary and Security officials on the 26th of May, 2014.EVANS HABIL(NAIROBI)  NATION MEDIA GROUP


Top security chiefs and Judiciary have agreed to work on modalities of handling terrorism cases in a 5hr meeting held in Nairobi.
The meeting brought together Defense Cabinet Secretary Rachel Omamo, Interior Ministry CS Joseph ole Lenku, Chief of Kenya Defence Forces Julius  Karangi, CID director Muhoro Ndegwa  Chief Justice Willy Mutunga among others.
The CJ said saying the meeting seeks to increase sharing of information among arms of government especially in handling of terrorism. 
“The meeting will address suspicion among the three arms of government,” said Mr Mutunga. The Judiciary has come under attack for being too soft on terror suspects by for instance releasing them on bond.

CHADEMA Jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje , Ahamia CCM

Written By JAK on Monday, April 28, 2014 | 1:32 AM

MZIMU wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe umeelezwa kumkimbiza hadi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Katibu wa Chadema jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje.

Hatua ya Ngwalanje kujitoa Chadema na kujiunga na CCM imeelezwa na baadhi ya wafuasi wa Chadema kuwa ni pigo kubwa kwa chama hicho.

Akizungumzia kujitoa kwa Ngwalanje, mwanachama wa Chadema Michael Ngimbusi alisema; “Ngwalanje alikuwa nguzo kuu ya Chadema wilayani Mufindi, aliogopwa na wana CCM, hiyo ikiwa ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja.


Katika kipindi cha zaidi ya miaka minne ambacho Ngwalanje amekuwa Katibu wa Chadema jimbo la Mufindi Kusini ameweza kushawishi zaidi ya wakazi 600 katika maeneo mbalimbali jimboni humo kujiunga na chama hicho.

Katika mkutano wa mapokezi yake uliofanyika kijijini kwake Kimilinzowo kata ya Itandula alisema; “Kazi ya kuibomoa Chadema haitaishia katika wilaya ya Mufindi pekee, bali nitaiendeleza hadi Jimbo la Iringa Mjini linaloongozwa na Mchungaji Peter Msigwa kupitia Chadema.” Ngwalanje alisema utawala mbovu na matumizi mabaya ya fedha za ruzuku utaisambaratisha Chadema katika kipindi kifupi kijacho.


Alisema chama hicho kinapata fedha nyingi zinazotokana na ruzuku ya serikali na michango ya wanachama, wafuasi na marafiki zake wa ndani na nje ya nchi lakini zimekuwa zikiwanufaisha wachache.

Alisema wakati kundi kubwa la viongozi wa chama hicho likifanya kazi kwa kujitolea, kundi la wachache walioko makao makuu wamekuwa wakitafuna fedha hizo bila woga huku wakiwatishia wanaohoji.

Alisema demokrasia inayohubiriwa kutafutwa na chama hicho nchini ina walakini kwa kuzingatia kwamba ndani ya chama hicho zipo nafasi za uongozi ambazo kwa wengine ni uhaini kuziwania.


Source: Habarileo.






Katibu wa Chadema Jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje akikabidhi vitendea kazi vyake na kadi ya Uanachama wa CHADEMA kwa katibu wa CCM wilaya ya Mufindi Miraji Mtaturu (kushoto ) baada ya kukihama chama hicho na kujiunga na CCM

Emmanuel Ngwalanje akitoa yake yaliyokuwa moyoni kwa wananchi kabla ya kujiunga na CCM.





Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje akipewa vitendea kazi vya CCM na kadi ya Uanachama baada ya kujiunga na chama chenye umoja na mshikamano, CCM.

MIAKA 50 YA MUUNGANO UWANJA WA TAIFA



Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wakati alipokuwa anaingi uwanja wa Uhuru leo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar..Pembeni ni Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam .

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Joyce Banda wa Malawi katika sherehe za miaka 50 ya Muungano.Rais Banda kwa sasa ndiye mwenyekiti wa jumuiya ya uchumi kusini mwa Afrika SADC.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya muungano.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mfalme MswatiIII katika sherehe za miaka 50 ya Muungano zilizofanyika katika viwanja vya uhuru .

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni katika sherehe za miaka 50 ya Muungano.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi katika maadhimisho ya hsrehe za miaka 50 ya Muungano.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Uhuru Kenyatta katika hsrehe za miaka 50 ya Muungano.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Mohamed Ali Shein na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa na viongozi wa nchi mbalimbali za Afrika kwnyesherehe za Miaka 50 ya Muungano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo. Wengine toka kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi, Mfalme Mswati wa III

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal, Mfalme wa Lesotho na rais wa Malawi Dkt Joyce Banda. na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa na viongozi wa nchi mbalimbali za Afrika kwnyesherehe za Miaka 50 ya Muungano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam .

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal,  na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakishyangilia kwa furaha wakati Makomandoo wakishuka kwa miavuli uwanjani kama inavyoonekana hapo chini.

TASWIRA YA MAADHIMISHO YA MIKA 50 YA MUUNGANO KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME

Written By JAK on Sunday, April 27, 2014 | 2:35 AM

(KUSHOTO - KULIA )MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG W. SOILELI,KAIMU WA MKOA WA ARUSHA NDG MWANGA,MKUU WA WILAYA YA MONDULI NA MGENI RASMI WA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MUUNGANO KUTIMIZA MIAKA 50,NDG.JAWIKA KASUNGA AKIFUATIWA NA MKUU WA WILAYA YA ARUMERU NDG NYEREMBE D. MUNASA SABI WAKIWA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME

  • Akihutubia umati wa maelfu ya wananchi wa Arusha waliojitokeza katika kuadhimisha sherehe za miaka 50, ya Muungano,alieleza kuwa kuna kila sababu ya kushukuru na kudumisha amani kwa kujaliwa kufikia siku ya leo.
  •  Pia aliwataka wananchi kutambua kuwa tunasheherekea maadhimisho haya ya miaka 50, tukiwa na Amani,Umoja na Mshikamano .
  • Alibainisha kuwa Muungano ulitokana na utashi na uzalendo wa WASISIS wetu baba wa Taifa Marehemu Mwl Julius K.Nyerere na Mzee wetu Hayati Abedi Amani Karume,na kwa maamuzi thabiti.
  • Alibainisha kuwa Muungano huo ulifanyika kwa kuzingatia historia ya nchi zetu mbili.
  • Alifananisha baadhi ya watu wanaodai hati ya Muungano, ni sawa na mtoto aliyelelewa kwa muda wa miaka hamsini halafu anawauliza wazazi wake cheti cha ndoa.
  • Muunngano wetu ni wa mafanikio makubwa,lakini akabainisha kuwa changamoto zipo na na zinajulikana na zimeandikwa na baadhi ya hizo zimeshatatuliwa na nyingine zinaendelea kutatuliwa.Aidha alihoji kuwa ,kama inawezekana ndoa ya familia yenye watu wachache inaweza ikawa na changamoto na zikaweza kutatuliwa, iweje nchi kubwa kama hii zikosekane changamoto ?
  • Alisema kuwa AMANI iliyopo ndiyo inayowapa nafasi ya kufikiri, ama sivyo kungekuwa hakuna amani wasingekuwa na muda wa kufikiria yote hayo.
  • Aliasa wananchi kutochezea amani iliyopo na akafananisha na msemo usemao kuwa "Aliyenacho, haoni thamani yake , mpaka hapo akikosa ndipo anapoanza kujijutia"
  • Muungano wetu ni wa pili duniani ukitanguliwa na ule wa Canada.


KIKUNDI CHA BURUDANI KUTOKA WILAYA YA NGORONGORO KIJULIKANACHO KWA JINA LA GROUP SALEKWA KATIKA KUTOA BURUDANI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KIKUNDI CHA WAIMBAJI KUTOKA SHULE YA MSINGI OLORIENI ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
UJUMBE KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KIKUNDI CHA AKINA MAMA KWA JINA MAARUFU WASTARA WAKITOA BURUDANI YA UHAKIKA KWA WAGENI NA WANANCHI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KIKUNDI CHA BURUDANI KIJULIKANACHO KWA JINA LA MDUMANGE WAKIWA WAKO TAYARI KUTOA BURUDANI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KIKUNDI CHA WANAFUNZI KUTOKA SHULE YA MSINGI YA MERU ,WAKIWA NA WIMBO WAO MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
JUKWAA KUU KAMA LINAVYOONEKANA
KUSHOTO NI MCHUNGAJI LEMBRIS JUSTO PALLANGYO AKIWA KATIKA MEZA KUU ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
AFISA WA TARAFA NDG SAKINA MPUYU,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KATIKATI NI MWENYEKITI WA CCM KATA YA KALOLENI NDG. NGALAWA ,KULIA NI MWENYEKITI WA KATA YA SEKEI, KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
WAGENI MBALI MBALI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
WAGENI NA WANANCHI MBALI MBALI WALIOHUDHURIA SHEREHE HIZO,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
WAANDISHI NA WAPIGA PICHA ZA HABARI WAKICHUKUA MATUKIO MBALIMBALI,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KIJANA AJULIKANAYE KWA JINA MAARUFU "MGOSI" AKITOA BURUDANI ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM NDG JASPER KISHUMBUA ,AKIWA AMESHIKILIA BANGO ,AKISISITIZA JAMBO KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG ELISANTE KIMARO ,ALIYEVAA KOTI JEUSI NA SHATI LA KIJANI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA AICC JIJINI ARUSHA NDG E. KAAYA (KATIKATIA,ALIYEVAA KOTI JEUPE) KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
BAADHI YA VIJANA MAARUFU JIJINI ARUSHA NA WAPENZI WA TIMU YA AFC YA JIJINI ARUSHA ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
UMATI WA WANANCHI WALIOJITOKEZA,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KUSHOTO - KULIA, KATIBU WA UWT KATA YA KALOLENI NDG SAUMU KASSIM, KATIBU WA CCM KATA YA SEKEI NDG RUTH MSUYA,KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG VICTOR MOLLEL AKIFUATIWA NA KATIBU WA UWT WILAYA YA ARUSHA NDG FATUMA ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA
KATIBU MWENEZI WA CCM NA KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA ,WAKITETA JAMBO,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
MUASISI NA MAMA MAARUFU JIJINI ARUSHA KWA JINA MAMA NEEMA NASSORO ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
BAADHI YA VIJANA WA UVCCM KUTOKA KATA YA SOMBETINI WAKIWA NA FURAHA TUPU,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KATIBU WA CCM KATA YA UNGA LTD NDG ALLY AKIWA KATIBU MWENEZI CCM TAWI LA UNGA LTD NDG HILDA,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
DIWANI WA KATA YA KATI NDG ABDUL TOJO,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KIKUNDI CHA SANAA KUTOKA OLJORO JKT WAKITOA BURUDANI YA AINA YAKE ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
MCHUNGAJI JUSTO L.PALLANGYO AKIONGEA NA UMATI WA WANANCHI ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
KAIMU MKUU WA MKOA NDG MWANGA AKIIONGEA ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA ARUSHA NA MUUMINI WA SEREKALI 2 NA MUUNGANO AKISALIMIWA ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
WAZEE MAARUFU NA WALIOKUWEPO KIPINDI MUUNGANO UNAZALIWA,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
DIWANI WA KATA YA KATI NDG ABDUL TOJO AKISALIMIA WANANCHI WALIOJITOKEZA,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
MKUU WA WILYA YA ARUMERU NDG NYEREMBE MUNASA AKIONGEA NA KUMKARIBISHA MGENI RASMI KATIKA ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA NDG JAWIKA KASUNGA ,KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME

MAMBO NDIVYO YALIVYOKUWA, KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE YA KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO,KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME










 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger