Kamanda wa Kikosi cha Polisi Bandarini Zanzibar akiongoza
Operesheni wa kukagua magunia yaliokuwa na Pembe za Tembo yaliokamatwa katika
bandari hiyoleo yakiwa katika harakati ya kusafirishwa nje ya Nchi kupitia
bandari hiyo, zoezi hilo limefanywa chini ya Jeshi la Polisi Bandari Kikosi cha
KMKM, yalikuwa katika Kontena la futi 40.
Askari wa jeshi la Polisi wakitowa Pembe za Tembo katika
makunia wakati wa zoezi hilo leo asubuhi katika bandari ya Malindi Zanzibar.
Magunia haya yakiwa na sehena na makombe ya pwani wakati
katikati yakiwa na viroba vya mPembe za Tembo ambayo yakiwa yamehifadhiwa
katika Kontena likiwa tayari kusafirishwa nje ya Nchi, limegunduliwa katika
bandari ya Zanzibar leo asubuhi. 
Zoezi likiendelea kupekuwa makunia ya Makombe ya Pwani
kutowa magunia yaliohifadhiwa Pembe za
Tembo

Tembo
Baadhi ya Pembe za Tembo zilizokamatwa katika bandari ya
Malindi Zanzibar yakisubiri kuhisabiwa kupata idadi kamali na thamani yake na
uzito kwa ujumla.
Operesheni ikiendelea kuhesabu Pembe za Tembo zilizokamatwa
katika bandari ya Zanzibar wakiweka hesabu sawa kuhakikisha hesabu iliokamilika
na kupata thamani yake halisi.
Zikipimwa uzito kujuwa uzito wake kila gunia likipimwa
kupata uzito wake wote.
Post a Comment