
Naibu
Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akipokea Zawadi ya Ua wakati
akipokewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dsm hii Leo,Tukio
hili limefanyika Nje ya Wizara ya Fedha ambapo mamia ya Wafanyakazi
asubuhi ya Leo Tar.22/01/2014 walijitokeza Kuwalaki Mawaziri wapya
walioteuliwa na Rais Kikwete wiki iliyopita ilikujaza nafasi za Mawaziri
wanne Zilizokuwa Wazi kutokana na Kujiuzulu pamoja na Kifo cha Waziri
wa Fedha Marehemu Mgimwa.


Mapokezi Yakiendelea Asubuhi ya Leo Nje ya Wizara ya Fedha.


Naibu
Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akilakiwa na Maofisa wa Wizara ya
Fedha mapema hii leo Asubuhi wakati alipofika Ofisini hapo rasmi kuanza
kazi.

Post a Comment