Home » , » DIRA YA DUNIA Y BBC TV YAZUNGUMZA NA Mhe. RAIS JAKAYA KIKWETE KUHUSU WANYAMA PORI

DIRA YA DUNIA Y BBC TV YAZUNGUMZA NA Mhe. RAIS JAKAYA KIKWETE KUHUSU WANYAMA PORI

Written By JAK on Saturday, February 15, 2014 | 10:39 PM


Prince Charles na waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ni miongoni mwa wenyeji wa mkutano wa kimataifa mjini London, wenye lengo la kuzuia uwindaji wa wanyama waliohatarini kutoweka. Biashara hiyo yenye kuingiza takriban dola bilioni 19 kwa mwaka, imeenea kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya pembe za ndovu nchini China. 
Zuhura Yunus wa BBC Swahili  amezungumza na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete kuhusu janga hilo katika kipindi cha Dira ya Dunia ya BBC TV juu ya janga hilo linaloikumba nchi hiyo mwanzo kujua wanakabiliana nalo vipi.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger