Home » » Dola za kimarekani milioni 7.2 zadakwa uwanja wa ndege wa Panama, Honduras

Dola za kimarekani milioni 7.2 zadakwa uwanja wa ndege wa Panama, Honduras

Written By JAK on Monday, February 10, 2014 | 9:57 PM

Watu watatu wanashikiliwa na polisi nchini Panama kwa tuhuma za kuhusika na begi lililokutwa na dola za Kimarekani 7.2 (pichani) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa TocumenJumapili hii, ambapo wapelelezi wanahisi mkwanja huo ulikuwa unahamishwa kutoka Honduras kwa moja ya makundi ya wauza 'sembe'  (madawa ya kulevya) ambalo hawakulitaja. Mkwanja huo zaidi ulikuwa wa noti za dola 100.


Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger