Home » » MEMBE ALIPOHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI

MEMBE ALIPOHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI

Written By JAK on Monday, February 17, 2014 | 11:20 PM

 Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM mjini Dodoma leo Februari 16,2014.
Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama chetu.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger