Home » » MH. WASSIRA NA MH. JANUARY MAKAMBA WAHOJIWA NA KAMATI LEO

MH. WASSIRA NA MH. JANUARY MAKAMBA WAHOJIWA NA KAMATI LEO

Written By JAK on Friday, February 14, 2014 | 10:19 PM

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati ya maadili ambapo alisema hakukuwa na tuhuma zozote zaidi ya mashauriano na alisisitiza yeye kamwe hawezi shiriki kukivunja chama.
 Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kuhojiwa zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya Maadili. 

 Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka nje ya ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kumaliza kuhojiwa kwa  zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya Maadili.Picha na Adam Mzee

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger