Home » » NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AKUTANA NA WADAU WA PSPF

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AKUTANA NA WADAU WA PSPF

Written By JAK on Tuesday, February 11, 2014 | 8:14 PM

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwakaribisha Maafisa kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) katika Mkutano na Watumishi wa Wizara hiyo kuhusu Mpango wa Uchangiaji wa Hiari uliofanyika leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kushoto akisalimiana Meneja Msaidizi wa Mfuko wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) Bi. Matilda Nyallu katika Mkutano wa Watumishi wa Wizara hiyo uliofanyika leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Meneja Msaidizi wa Mfuko wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) Bi. Matilda Nyallu akitoa mada kwa Watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo juu ya kujiunga na Mpango wa Uchangiaji kwa Hiari .Picha zote na Benjamin Sawe wa Wizara ya Habari.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger