Home » » NEWS ALERT: MAGARI YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA

NEWS ALERT: MAGARI YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA

Written By JAK on Monday, February 10, 2014 | 10:01 PM

 Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita.
 Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la hedaru
 Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko ya maji
 Wakandarasi wakijadiliana jambo ili kuweza kupata ufumbuzi
 Umati wa wasafiri wakiwa wanashangaa jinsi barabara ilivyozuiwa na maji
Hii ndio hali halisi inavyoonekana malori yakiwa yamekwama katikati ya barabara
Magari zaidi ya 300 yamekwama mda huu eneo la hedaru baada ya barabara kufungwa na kuzibwa na maji mengi yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha eneo hilo.Wasafiri wamekwama eneo hili kwani magari na mabasi pia magari ya mizigo yanashindwa kupita kwa kuwa njia haionekani.


Kampuni ya ujenzi inayojenga barabara hiyo wanajitaidi kuchimba maeneo ya pembeni ili kuweza kuhamisha maji ili angalau njia iweze kuonekana.Hali ni mbaya eneo hili hivyo serikali inatakiwa kuwahi kwenda kutoa msaada wa kuweza kupunguza maji na hatimaye magari yaweze kupita.

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger