Home » » Profesa Mwandosya apeleka ujumbe maalum wa Rais Kikwete Kwa Rais Kagame, Rwanda

Profesa Mwandosya apeleka ujumbe maalum wa Rais Kikwete Kwa Rais Kagame, Rwanda

Written By JAK on Monday, February 10, 2014 | 10:05 PM

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mhe.Prof.Mark J.Mwandosya akizungumza na Mawaziri wa Rwanda.Kutoka kulia ni waziri ofisi ya Rais Mhe.Venantie Tugireyezo, Waziri wa mambo ya nje Mhe.Louise Mushikiwabo pamoja na kaimu balozi wa Tanzania nchini Rwanda Bw. Francis Mwaipaja.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mhe Prof. Mark Mwandosya akimkabidhi waziri wa mambo ya nje wa Rwanda Mhe. Louise Mushikiwabo ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Rais wa Rwanda Mhe.Paul Kagame.kulia ni Waziri Ofisi ya Rais Mhe. Venantie Tugireyezo

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mhe. Prof. Mark J. Mwandosya akimkabidhi kitabu alichoandika kuhusu udhibiti wa huduma za kiuchumi nchini Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda Mhe. Louise Mushikiwabo. Anayeshuhudia ni Waziri Ofisi ya Rais Mhe. Venantie Tugireyezo
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger