Home » » RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE

RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE

Written By JAK on Friday, February 14, 2014 | 10:26 PM

Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam. DSC_0143 Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa semina hiyo.
Maofisa wa Air Rwanda wakiwa wamepozi kwa picha.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Five Star Tours, Harry Pietersen (kulia), akimkabidhi cheti, mshauri wa kampuni ya uwakala wa ndege ya Safeline Osbert Barongo baada ya kushika nafasi ya tatu kwa kutoa huduma bora wakati semina iliyoandaliwa na Rwanda Air kwa ajili ya mawakala wake jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Rwanda Air Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun.

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger