Home » » CCM JIMBO LA CHALINZE HAIKAMATIKI , CHADEMA YAPATA KWIKWI !!!!!

CCM JIMBO LA CHALINZE HAIKAMATIKI , CHADEMA YAPATA KWIKWI !!!!!

Written By JAK on Thursday, March 20, 2014 | 9:28 PM





https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgnpoHzJAlFvMU5FnVRhsvJDF2wsnW_QTdt4F0QtkHY_NwArRIlq7aRAVzsNjPRip1qJHgsZbB93K2komzd0ragkNvYf5WE5eTk3StEEkZ6q5gUbHf4YcnBQfqKnneBAaI6UxjH4W19dxr/s1600/UB+1.jpg
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukweli akitoa burudani kwa wananchi wakazi wa kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiM3wga-GOpjp7pAJh416HMP3u5rbq7spRhBpPYmcrEYCJ_2sZjZUDT6-PSZ3Mt8Y-6kKDbnlDdn6LOZ8FNeaziB3Xp9wIbnieoq70UsooEmGxCV6D0hT5MZpQuVMnQwYdsVa9TjhAyzq1C/s1600/UB+4.jpg
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani,Mwishehe Shaban Mlawa akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.Picha zote na Othman Michuzi.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSe3iY5jv2sYAvA5ukO7TK-RhC8TUWtcEcXOevufnsTOnH5tWk_oDY4P6X3KnaUMw385uRjYaYcV3lCi1BVElmeHo96GANUH4fTgIEfSjUY0hBHBZvOdtfVyqxil4MM9a_wqwa9s8LUKCq/s1600/UB+5.jpg
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete (katikati) akitambulishwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwidu,Mzee Mohamed Said kwa Bw. Chomiki kutoka jamii ya Wafugaji mwenye makazi katika kijiji hicho,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilYGSGUZhKhPHfpSbJY_YGRvqVtstxJLueT7MR4U_6zgZ8ZIpyhBD-evmI0rBpEz-us7AoN7ZH8wcaY6VLNqcNYKZn6_mg9hyphenhyphenSjMY5t0vmg2506TBQpxK0PqxqFkdoEXJx_viwTTvt_3-R/s1600/UB+8.jpg
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Mzee Ally Mohamed Meta mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kampeni kwenye Kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.

























































Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger