Home » » KAMPENI ZA CCM CHALINZE ZATUA KATA YA FUKAYOSI

KAMPENI ZA CCM CHALINZE ZATUA KATA YA FUKAYOSI

Written By JAK on Sunday, March 23, 2014 | 12:07 AM


Ridhiwani akiteta jambo  na kijana wa jamii wa wafugaji baada ya mkutano wake katika kijiji cha  Mkenge, kata ya Fukayosi

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kijiji cha Mkenge, Kaya ya Fukayosi .

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoRFKHGCDfJanDtU0vJVTxsZAxFFDq0PALfmHjUDimEop8tK8ZWtsp8wq3dwacd6606UIN4Me_MGxFb-M3CgOJk7a2IEz4fnJccBAp1rLDkszuxZ6ISPPCYREw-jmAT1i9WWU4HvXXSmiB/s1600/2.+Rizi+akimsalimia+Mzee+Salum+Khalifan+baada+ya+mkutano+wake+katika+kijiji+cha+Mkenge,+Kata+ya+Fukayosi.jpgRidhiwani akimsalimia Mzee Salum Khalifan baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, Kata ya Fukayosi, leo

Mandhari kwenye mkutano wa kampeni za CCM Kijiji cha Kidomole, Kata ya Fukayosi, leo
Ridhiwani akisalimiana na Kina mama baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, Kata ya Fukayosi

Dokii wa kijana Omari Seseme wa kijiji cha Kidomole, Kata ya Fukayosi

7. vijana wakimshangilia Riz baada ya mkutano wake wa kampeni katika Kijiji cha Mkenge Kata ya Fukayosi


 


Othman Muchuzi wa Michuzi Media Group akizungumza na mzee wa Kijiji cha Kidomole, kaya ta Fukayosi wilayani Bagamoyo. Othman ni miongozi mwa waandishi na Bloggers walioko kwenye kampeni za Ridhiwani Kikwete kuwania jimbo la Chalinze. Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger